MAELEZO YA MIFUMO YETU
MPJ O-LEVEL AI ROBOTIC SYSTEM
MFUMO HUU UNASIFA ZIFUATAZO
1. Mfumo unatoa maelekezo kwa sauti
2. Mfumo una kidato cha kwanza hadi cha nne
3. Mfumo unatoa mkeka kama NECTA na analysis nzito sana
4. Unatuma sms kwa wazazi
5. Unatoa ripoti in one click hadi watoto 4000
6. Una lesson plan masomo yote
7. mfumo unaTopic coverage evaluation
8. Mfumo una school calendar management
9. Mfumo una timetable creator
10. Mfumo una teachers rosta (ratiba ya zamu za walimu)
11. Mfumo ni rahisi kutumia una maelekezo kwa maandishi pia
NAMNA YA KUTUMIA
- sajiri majina
- Ingiza marks
- Chagua kidato
- Print matokeo
Mpj CA COLLECTOR pro system for o-level
Huu ni mfumo unao kusanya CA za masomo yote shuleni, unatoka matokeo kwa kila mtihani kwa mwaka mzima, unafanya analysis kwa kila mtihani, unatoa ripoti, unaanalyse matokeo ya kila mwalimu na kila mwanafunzi.
Mfumo wa kuchakata ratiba ya ufundishaji
TIMETABLE SOFTWARE
Jipatie software ya kuandalia Timetable kwa level zote za elimu.
Kazi ya mwl ni kujaza Masomo, madarasa, majina ya walimu na kuwajazia masomo wanayofundisha pamoja na idadi ya vipindi.
Mfumo utakusaidia kugenerate ratiba bila collision, na utakupatia zaidi ya yafuatayo
- Ratiba kuu ya Masomo
- Ratiba ya kila darasa
- Ratiba ya kila mwl
- Ratiba ya kila somo n.k
Mpj neon system for o-levels
Neon mpj system ni mfumo wa matokeo ya mitihani kwa mwaka mzima , huu mfumo unabeba mitihani yote muhimu
Pia mfumo huu unafanya ufatiliaji wa maendeleo ya kila somo kwa mwaka mzima
Relax mfumo utakwambia kila kitu.
- Mfumo huu unatoa analytical graphs
- Mfumo unatuma sms kwa kila mtihani
- Mfumo unatoa matokeo in NECTA format kwa mtihani
- Mfumo unafanya tathmini ya matokeo
- Mfumo unalinganisha wa kila somo kati ya mtihani uliopita na mtihani uliofanyika recently
- Umfumo unamwonekano wa kisasa na umenakshiwa vyema
- Mfumo ni rahisi kutumia n.k
Mpj nectalized system for o-level
MPJ NECTALIZED SYSTEM
MFUMO WA KUCHAKATA MATOKEO NA KUTOA RIPOTI
MAELEZO YA MFUMO
👉Mfumo ni mwepesi kutumia.
👉Mtu yeyote anaweza kutumia.
👉Kazi ya mwalimu ni kuingiza alama tu.
Mfumo una uwezo wa:-
👉Kutoa ripoti ya mwanafunzi yenye wingi wa taarifa muhimu eg. nafasi ya mwanfunzi kimkondo na kwa darasa Zima etc.
👉Unatoa tathmini ya ufaulu kwa kila mwanafunzi.
👉Unatoa tathmini ya ufaulu kwa darasa zima.
👉Unakutengenezea CAL na ISAL kwa ajili ya wanafunzi kusaini wakati wa mtihani.
👉Unaruhusu mwalimu kujaza taarifa za tabia na mwenendo wa mwanafunzi.
👉Mfumo unakuwezesha kuona kumi bora na kumi dhaifu kwa ujumla na kila somo.
👉Mfumo unakuruhusu kuona kumi bora kwa jinsia.
NB MFUMO UNACHAMBUA KWA AGGREGATE IKITOKEA WANAFUNZI WAMEFANANA ALAMA ITAMCHUKUA MWENYE AGGREGATES YA JUU NA HAIRUDII MAJINA KAMA MIFUMO MINGINE
👉Mfumo unakuwezesha kuona jamvi la matokeo kwa ubora na mfanano uleule wa NECTA.....pia unakupatia SUMMARY ya matokeo chini ya mkeka kama NECTA vile.
👉Mfumo unaonesha ufaulu kwa kila somo kwa GPA mahili.
👉Mfumo unaruhusu kuona ufaulu wa madaraja kwa kila somo. Mfano. Somo la Kiswahili kuna A,B,C,D,F ngapi, ili kumuwezesha mwalimu kujitathmini namana ya ufundishaji wake.
👉Mfumo unaonesha nafasi ya somo kwa kiufaulu.
👉Mfumo unakuwezesha kutuma ufaulu wa mwanafunzi kwa mzazi husika kwa kutuma sms za kawaida pamoja na kutuma sms za vikao kwa wazazi bila internet kabisa.
👉Mfumo unakuwezesha kujaza taarifa za shule kama tarehe ya kufunga na kufungua shule pamoja na maelekezo mbalimbali.
👉Kuweka madaraja kulingana na alama kwa muundo wowote unaohuhitaji.
👉Mfumo wetu una kiongozi/muongozo kwa mtumiaji.
Ripoti.
👉Ripoti inaonesha mchanganuo wa alama kwa kila somo na kila aina ya mtihani(zoezi au mtihani).
👉 Ripoti inatoa mchanganuo wa nafasi kila somo yaani inaonesha mwanafunzi amekuwa wa ngapi kwenye somo hilo kimkondo na kidarasa.
👉 Ripoti inaonesha maoni na daraja kwa kila somo.
👉 Ripoti inaonesha jumla ya alama alizopata mwanafunzi na wastani wa alama zake na inaonesha maoni kama wastani ni mzuri au mbaya na kumfanya mzazi aelewe Hali halisi ya maendeleo ya mwanafunzi.
👉 Ripoti inaonesha divisheni aliopata mwanafunzi na kiwango cha pointi alizopata(Kwa sekondari)
👉 Ripoti inaonesha nafasi ya mwanafunzi kwa ujumla yaaani inaonesha nafasi yake kimkondo na ki darasa Zima.
👉 Unaweza kutoa ripoti Kwa mtihani wowote.
Jinsi mfumo unavyofanya kazi.
Hatua ya kwanza.
👉 Mwalimu au ofisi ya taaluma wataingiza majina ya wanafunzi Kwa kila darasa.
👉 Baada ya kuingiza majina mtaaluma Mfumo utaanda automatically nakala za mitihani kama ISAL,CAL, BARUA ZA USIMAMIZI, TIMETABLE ZA MITIHANI, CALENDA YA MWAKA HUSIKA ambazo tayari zipo kwenye mfumo na kuzitumia.
👉 Mwalimu wa somo atajaza alama kwenye ISAL iliyosainiwa na wanafunzi.
👉 Anaehusika na mfumo atatumia ISAL yenye alama kuingiza matokeo kwenye mfumo.
Matokeo yanayoingia kwenye mfumo.
✓Matokeo yanaoingia kwenye mfumo ni matokeo ya majaribio na matakeo ya mtihani wa muhula.
BAADA YA KUINGIZA ALAMA
👉 Unaweza kutoa ripoti za majaribio kabla ya mtihani wa muhula kukamilika.
👉 Unaweza kutoa ripoti zilizokamilika baada ya mtihani wa mwisho wa muhula kukamilika.
👉 Unaweza kutoa nakala endelevu (CA) kwa ajili ya matumizi ya ofisi na mwalimu wa somo.
👉 Unaweza kutoa nakala inayoonesha kumi Bora kwa ujumla.
👉 Unaweza kutoa nakala inaonesha kumi Bora kwa jinsia.
👉 Unaweza kutoa nakala inayoonesha kumi Bora kila somo.
Maoni ya mwalimu wa darasa kwenye ripoti
👉 Maoni ya mwalimu wa darasa yanachambua somo moja moja na kusema tathmini na kutoa maoni kila daraja na Kila somo.
MAONI YA MKUU WA SHULE RIPOTI
👉 Ripoti inaonesha maoni ya mkuu wa shule kulingana na namna ya ufaulu wa mtoto na inatoa pendekezo nini kifanyike kwa mzazi na mwanafunzi.
(Maoni mkuu anaweka kama anavyohitaji)
Tathmini ya matokeo.
👉 Mfumo utakuwezesha kuona tathmini ya matokeo kwa darasa Zima.
👉 Mfumo utakuwezesha hali ya ufaulu wa jumla wa darasa, yaani idadi ya madaraja kwa kila somo(yaani As,B's nk)
👉 Mfumo unakuwezesha kuona ufaulu wa kila somo kwa GPA na asilimia.
👉 Mfumo unakuwezesha kuona GPA ya darasa na kukuwezesha kuelewa hali halisi ya darasa kitaaluma.
👉 Mfumo utakuwezesha kuona mkeka mzima wa matokeo kwa wanafunzi ambao waweza bandikwa sehemu yoyote shuleni.
PIGA SIMU
0655402558
Mpj Online system for o-levels and A-LEVEL
MPJ ONLINE SERVICE IKO VIZURI KWA GHARAMA ZA VUNJA BEI
Tayari nimeutengeneza mfumo unaofanya kazi online ni mwepesi sana tena sana mb 1 tu inakutosha kuandalia matokeo yako pia huo mfumo unafanyakazi kwa kutumia app maalumu katika simu au kwa kutumia WEBSITE itakayotegeezwa pamoja na mfumo huo, kwa watumiaji wa PC.
Kizuri zaidi waalimu watakua na hiyo app kissha wataweza ku-access mfumo na watajaza matokeo popote walipo
Kikubwa zaidi ktk app hiyo ni nimeweka L/T materials vitabu vya TIE kwa form one hadi form six kwa masomo yoote mwalimu wa shule husika anaweza kusoma ONLINE POPOTE ALIPO au aka-download kupiatia app hiyo.
Walimu watajaza CA zao humo kwa kila mtihani kwa MWAKA mzima kwa kidato husika
Pia walimu wanaweza kucomment na pia kujibu baadhi ya maswali mkuu au mtaaluma atakayouliza
Mwalimu anaweza kuondolewa katka mfumo ana katika darasa au mkondo usio mhusu ama akaachwa kua mtazamaji tu asiweze kuedit chochote😎
Humo ndani kutakua pia na mfumo wa ratiba walimu wataona timetable pia mfumo wa maabara kwa chemistry ⚗️🧪.
Nb
Nakufungia mfumo popote ulipo kikubwa ni email yako tu(gmail)baasi nakufungulia account nawewe na wewe utalogin huko uliko na kukuta kila kitu kiko tayari
N. K
NJOO INBOX SASA UJIPATIE MFUMMO WAKO POPOTE ULIPO PIGA 0655402558 KWA MAELEZO ZAIDI
MPJ chemistry laboratory facilitator ⚗️🧪
Huu ni mfumo maalumu kwaajili ya maandalizi ya chemical zote ACID SOLUTIONS & ALKALINE SOLUTIONS.
Kazi yako ni kuingiza idadi ya wanafunzi, ujazo kwa kila mwanafunzi, MOLARITY ngapi unataka na specifications za chemical yako .... Hapo mfumo utamaliza kazi utakushauribcha kufanya......unatumika katika pc na simu.
Mpj new results processing system
Mfumo huu unafanya kazi kuu zifuatazo
- Security ya mfumo ni advanced utalogin kwa password na username
- Utaingiza marks kwa kutumia form maalumu
- Utapata summary saafi kabisa
- Utapata mkeka kama wa necta tu
- Utaprint kwa kutumia form maalumu
- Yaani kila kitu ni raha tu safari hii 😊😊